Recent Posts

Ninamshukuru Mungu sana kwa kutimiza moja ya ndoto hii ya maisha yangu

1 comment
Ninamshukuru Mungu sana kwa kutimiza moja ya ndoto hii ya maisha yangu ya kumiliki usafiri .... Mungu amenipa exactly nlichokitaka na nlichokiomba ....sijakopa wala sijaazima NILIMUOMBA MUNGU NA NIKATUMIA KIPAJI CHANGU CHA KUCHEKESHA NA U MC tena sana sana nikiwa na ki kaptura na nguo za shule KILA UNACHOKITAKA KIKO NDANI YAKO ndani ya ujuzi ulio nao,ndani ya kipaji ulichopewa na Mungu ....SI MIMI,SI KIPAJI ILA NI MUNGU MWENYEWE ...20-4-teen is 20-4-Me!

Ahsanteni sana Dodoma

No comments
Ahsanteni sana Dodoma,ahsanteni wote tulioonana jana na kupiga picha na story kibao ....ambao bado ntarudi tena ivi karibuni Asnteni Dodoma Asanteni Wagogo wenzagu Dar es salaam tuko njiani

NILIPOFUNGUA MACHO NIKAKUTA AMENIPA TANZANIA NZIMA

No comments
Jamani hili pose langu apa mnalionaje?... namalizia send off ya Jacque hapa Dar es salaam ...then ALFAJIRI ntadrive ....sema kudrive.... ntadrive kwenda Dodoma kua Mc katika harusi ya rafiki yangu Andrew Arnold Misana .....NILIFUMBA MACHO NIKAMUOMBA MUNGU ANIPE DAR ES SALAAM NILIPOFUNGUA MACHO NIKAKUTA AMENIPA TANZANIA NZIMA!

Leo NAPOKEA USHAURI naomba unishauri chochote

No comments
Leo NAPOKEA USHAURI naomba unishauri chochote unachojisikia toka ndani ya moyo wako. NIKO HAPA NAKUSKILIZA KWA MAKINI. Natanguliza shukrani.

I JUST CHOOSE TO USE MY LIFE TO INSPIRE OTHERS

No comments
I JUST CHOOSE TO USE MY LIFE TO INSPIRE OTHERS..... kamata gazeti lako la UWAZI uk 8 la LEO



Tumevunja rekodi kwa kuangaliwa YOUTUBE

No comments
Tumevunja rekodi kwa kuangaliwa YOUTUBE wametuandikia email kutupongeza... nimeongeza Video KUMI .. INGIA YOUTUBE LEO ucheke

naomba sana maombi yenu

No comments
Marafiki zangu wapenzi naomba sana maombi yenu siku ya leo katika jambo moja muhimu sana katika maisha yangu na kipaji changu .... naomba ata dakika zako tano uniombee Mungu aweke mkono wake. Amen

nilipoalikwa kuchekesha na kusherehesha ikulu Dar es salaam

No comments
Nikiwa USO KWA USO na mh MAMA SALMA KIKWETE ...mama TUNU PINDA na mh mkuu wa mkoa wa DAR ES SALAAM jana nilipoalikwa kuchekesha na kusherehesha ikulu Dar es salaam


natumia kila kipaji kilichoko ndani yangu

No comments
Ndugu mtangazaji Wa TIMES FM 100.5..... najaribu kuhakikisha natumia kila kipaji kilichoko ndani yangu ili nikifa nife nikiwa natabasamu